Jumatano 4 Machi 2026 - 23:47
Hivi sasa maneno ya Imam Zamani (aj) ni haya; Piganeni na Wazayuni na Marekani madhalimu, damu yao ipo juu yangu

Hawza/ Mtukufu Ayatullah Jawad Amuli, katika ujumbe muhimu huku akibainisha kwamba tumepata mtihani mkubwa alisema: Hivi sasa maneno ya Imam Zamani (aj) ni haya; Piganeni na Wazayuni na Marekani madhalimu, damu yao ipo juu yangu.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Mtukufu Ayatullah Jawad Amuli, katika ujumbe muhimu huku akibainisha kwamba tumepata mtihani mkubwa amewataka watu wote wahifadhi umoja na mshikamano.

Amesema kwamba: Kwa mara nyengine tena natoa salamu zangu za rambirambi kwa umma wote wa Kiislamu, kutokana na Shahada ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Irani, Yeye kipindi chake chote cha utumishi amekimaliza kwa kupata shahada yenye baraka tele, na hivi sasa yupo pembizoni mwa meza ya Bwana wa Mashahidi na ni mgeni wa Imam Hassan bin Ali (Amani ya Mola iwe juu yao)

Mtukufu huyo katika muendelezo wa khutuba yake huku akisisitiza kuhifadhi umoja wa Umma wa Kiislamu alisema: Sisi kwa sasa tupo katika mtihani mkubwa sana, na ni lazima tuwe makini, tuhifadhi umoja, umoja huu tulionao tuulinde kikamilifu. Ikiwa utapata tabu kidogo fahamu kwamba faraja tele ipo mbele yako, sisi ni lazima tufahamu mtu wa kando anaikusudia ardhi na maji yetu, anakusudia kutugawa, anakusudia kututawanya, ardhi yetu ndio inayohifadhi nafsi zetu.

Mtukufu huyo, huku akiashiria hadithi ya Imam Swadiq (as) isemayo: 


«مَن قُتِلَ دُونَ مالِهِ ظُلما فهُو شَهیدٌ»


Alisema: Wakati alipoulizwa Imam (as), Kuna mtu ambae amekusudia kutunyang'anya mali zetu, ardhi yetu, na nchi yetu, je tufanyaje? Imaam akasema: "Muuweni damu yake ipo juu yangu". Alisema: Kumwaga damu ya Wazayuni, kumwaga damu ya Trump, na kumwaga damu ya mfano wa hao, damu zao mwageni, zipo juu yangu. Hivi sasa maneno ya Imam Zamani (aj) ni haya; Piganeni na Wazayuni na Marekani madhalimu, damu yao ipo juu yangu.

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha